Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza mgeni wake Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia Rais [Picha na Ikulu].