Untitled Document
home | tume | utangazaaji | znz

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimiana [Picha na Ikulu].

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza mgeni wake Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia Rais [Picha na Ikulu].

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon (katikati)alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumsalimia Rais akiwa na ujumbe aliofuatana nao [Picha na Ikulu].

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa UNFPA Nchini Tanzania Ms.Jacqueline Mahon alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia Rais [Picha na Ikulu].